MBUNGE wa Jimbo la Nyasa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi Stella Manyanya akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma wamekagua mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Kata ya Kihagara wilayani Nyasa ambao umekamilika kwa gharama ya shilingi milioni 600.Mhandisi Manyanya amesema kituo hicho kinaweza kufunguliwa wakati wowote na kuanza kazi ya kuhuduimia wananchi wa jimbo la Nyasa.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa