Picha mbalimbali za matukio ya uzinduzi wa upandaji wa miti iliyofanyika katika Hospiitali ya Rufaa Mkoa wa Ruvuma iliyopo kata ya Mwengemshindo, Kituo cha afya Ruvuma, pamoja na mlima matogoro ambapo zoezi lilifanyika tarehe 06 januari 2025 ambapo jumla ya miti 30,000 ilipandwa Manispaa ya Songea katika maeneo ya taasisi ambapo kwa Mkoa wa Ruvuma imetengwa miti milioon 6,985,574 ambayo itapandwa mkoani Ruvuma.
Kanal. Ahmed Abbas Ahmed ambaye alikuwa alikuwa mgeni rasmi aliwataka wananchi kutunza mazingira sambamba na kupanda miti ili kulinda mazingira.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY;
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa