KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Pololet Mgema amesema Mkoa wa Ruvuma una jumla ya matrekta 150 hali ambayo inasababisha asilimia 90 ya wakazi wa mkoa wa Ruvuma kulima kwa kutumia jembe la mkono hali ambayo inasababisha wakulima kuzalisha kwa nguvu kubwa na kupata mapato kidogo.Mgema alikuwa nazungumza wakati anafungua semina elekezi ya fursa za upatikanaji wa matrekta kwa gharama na masharti nafuu toka Shirika la Maendeleo la Taifa(NDC) kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.Semina hiyo imeratibiwa na Mbunge wa viti maaalum mkoani Ruvuma Jakline Msongozi.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa