MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekagua baadhi ya miradi muhimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ikiwemo mradi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ambao unagharimu shilingi bilioni 1.5 na mradi unafanyika kwa miezi sita.Kisha Mndeme aligawa vitambulisho vya wajasirimali wadogo wa Nyasa katika hafla ambayo ilifanyika eneo la bandari mjini Mbambabay
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa