MKUU wa wilaya ya Songea ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama Pololet Mgema ameagiza kuimarishwa kwa ulinzi na usalama Manispaa ya Songea kuanzia ngazi ya mitaa.Ametoa agizo hilo kwenye kikao maalum kilichowashirikisha wenyeviti wa serikali za mitaa 95 ya Manispaa hiyo.Kikao hicho pia kimewashirikisha watendaji wote wa mitaa na kata za Manispaa ya Songea kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa