Mkuu wa wilaya ya Songea pololet kamando Mgema akiwa na Kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ameowaongoza wakazi wa kata ya Ruhuwiko Manispaa ya Songea kufanya usafi leo Jumamosi ya mwisho wa mwezi Januari 2019 ambayo usafi unafanyika katika nchi nzima katika maeneo ya umma na makazi.
Pamoja na mambo mengine amewapongeza waliojitokeza kufanya usafi na ameagiza kuchukuliwa hatua za kisheria wote wanaokaidi kufanya usafi wa Mazingira ikiwemo kupigwa faini ya shilingi 50,000 .
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa