Mkuu wa Wilaya ya Songea Mhe. Kapenjama ndile amewataka wataalamu wa Maendeleo ya jamii Manispaa ya Songea kufanya kwa kufauata misingi iliyowekwa hususani wanapo simamia vikundi vinavyotaka mikopo.
Kauli hiyo ameitamka akizundua Mafunzo ya usimamizi wa utoaji mikopo kwa vikundi vya wananwake, Vijana,na Walemavu ambayo ilisimamishwa kutolewa mikopo hiyo kwenye vikundi mara baada ya kusimamishwa na kurudishwa =tena kwa baadhi ya Halmashauri.
Alisema uaminifu katika mikopo nikitu muhimu sana kwasababu inapelekea kuwa na uwazi, kufanya kazi kwa weredi na kufuata miongozo iliyowekwa katika utoai wa mikopo.
Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Songea tarehe 10 Oktoba 2024 ambayo yalihudhuriwa na Maafisa watendaji wa wakata, Mitaa, Maafisa elimu kata, pamoja na wataalamu mbalimbali waliopo kwenye kata.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY;
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa