MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameagiza kufutwa mikataba ya wakandarasi wote ambao miradi ya maji haijakamilika.
Mndeme pia ameagiza miradi hiyo kukamilishwa na RUWASA na kuhamishwa kwa mikataba na fedha zote kutoka Halmashauri kwenda RUWASA.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa