Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa pongezi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea kwa kushughulikia baadhi ya kero za watumishi wa Idara ya Afya na kumuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma kuhakikisha wakurugenzi wa Halmashauri nyingine saba za Mkoa wa Ruvuma, kuiga mfano wa Mkurugenzi wa Manispaa katika kushughulikia kero za watumishi wa Afya .
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa