MRADI wa machinjio ya kisasa ambao unatekelezwa katika Kata ya Tanga Manispaa ya Songea umefikia asilimia 100.Mradi huo umefadhiliwa na Benki ya Dunia kwa gharama ya shiligi bilioni 3.2 .Kukamilika kwa mradi huu kunafungua fursa mpya za ajira kwa wakazi wa mji wa Songea na watanzania kwa ujumla.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa