MRADI wa ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya Songea katika eneo la Kata ya Tanga Manispaa ya Songea ambao umefikia asilimia 88.Mradi huu ambao jiwe la msingi liliwekwa na Rais Dkt.John Magufuli,umegharimu zaidi ya shilingi bilioni sita na mkataba wake unakamilika Septemba 30,2019.Mradi ni wa miezi 10 kuanzia Machi 2018,unajengwa na Kampuni ya SIETICO kutoka nchini China.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa