Mwenyekiti wa kamati ya ushauri ya wanawake TALGWU Taifa Bi Beatrice Njawa amewataka wanachama wa chama hicho kuendelea kusajili wananchama wa chama hicho,ili kujenga uhai wa chama.
Ametoa kauli hiyo, akiwa ziarani Mkoani Ruvuma wajati anazungumza na wanachama wa chama hicho tarehe 18 desemba 2024 katika ukumbi wa shule ya wasichana Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa