NAIBU Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Judith Mbogoro ametoa rai kwa wanawake kujitokeza kwa wingi kugombea uongozi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika baadaye mwaka huu.Mbogoro alikuwa anazungumza katika wiki ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kilele chake ni Machi 8 ambapo katika manispaa ya Songea uzinduzi ulifanyika kwenye bustani ya Manispaa ya Songea na kilele chake kitafanyika Namanditi Kata ya Ruhuwiko Manispaa ya Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa