Naibu Meya Manispaa ya Songea amefanya ziara ya kutembelea Msikiti wa Mtaa Merikebu kwa lengo la kuwawezesha watoto chakula chenye thamani ya shilingi 300,000 kwa watoto wenye mahitaji katika msikiti huo pamoja na shilingi Mil. 1 kwa ajili ujenzi wa Msikiti wa Mtaa Mtakuja iliyofanyika 22 Septemba 2023 kwa lengo la kuwasaidia waumini wa dini ya kiislamu.
Mwisho;
AMINA PILLY;
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa