BENKI ya NMB tawi la Wino Halmashauri ya Madaba Wilayani Songea mkoani Ruvuma imetoa msaada wa viti 63 na meza 63 katika shule ya sekondari ya Wino.Msaada huo umetolewa na Kaimu Meneja wa NMB Kanda ya Kusini Frank Rutakwa na kukabidhiwa mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema katika hafla ambayo imefanyika katika shule hiyo.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa