Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile amewashukuru wananchi na wadau mbalimbali kwa kushirikiana katika kuwasaidia wananchi waliopata maafa ya kuezuliwa nyumba zao na hasara ya kuharibika kwa chakula ambapo jumla ya nyumba 1155 zilizoharibika Madaba ni nyumba 16, Halmashauri ya Wilaya ya Songea 7 pamoja na nyumba 133 katika Manispaa ya Songea.
Mhe. Kapenjama Ndile ametumia wadau hao kuchangisha michango mbalimbali ili kuwasaidia waathiriwa ikiwemo unga kilo 2120, Maharage kilo 200, chumvi, sabun, mafuta na mchele kilo 380 pamoja na tulubai na kiasi cha fedha tsh 4,000,000.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY;
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa