RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli leo Aprili 6,2019 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha kisasa katika eneo la Kata ya Tanga Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Mradi huo umegharimu zaidi ya shilingi bilioni sita.Mradi huo ni wa miezi 18 ambao ulianza Machi 2018 na unatarajia kukamilika Septemba 30,2019.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa