KATIBU Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Prof.Riziki Shemdoe amekagua bweni la wasichana katika sekondari ya Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma lenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 312.
Kukamilika kwa mradi wa bweni hilo ambalo limegharimu zaidi ya shilingi milioni 600 kumemaliza kero ya wanafunzi wa kike waliokuwa wanaishi nje ya shule ambako walikuwa wanakabiliwa na changamoto mbalimbali.
Imetolewa na Netho Credo
Afisa Habari Wilaya ya Nyasa
Oktoba 19,2018
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa