Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuam Mary Makondo amewataka wananchi kukataa uchafu pia kutotupa takataka ovyo na kujijengea tabia ya kufanya usafi wa mazingira kila mwezi ili kuondokana na mlipuko wa magonjwa.
Alisema hayo wakati akizungumza na wananchi katika stendi ya Mfaranyaki siku ya maadhimisho ya 9 desemba miaka 63 ya uhuru iliyofanyika kwa kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa Ruvuma, Kituo cha afya Mjimwema, Soko kuu Mfaranyaki, na Stendi ya Mfaranyaki.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY;
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa