MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesaini Mkataba wa kusimamia suala la LISHE na Wakuu wa Wilaya wenye lengo la kuongeza uwajibikaji katika suala la kukabiliana na tatizo la Utapiamlo ndani ya Mkoa wa Ruvuma.
Mndeme amewataka kila mmoja kushiriki kikamilifu katika kusimamia suala la Lishe Bora kuanzia ngazi ya kaya.
Imetolewa na Katibu wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Nehemia James
Septemba 25,2018
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa