MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme alikuwa ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya sheria kanda ya Songea ambayo yamefanyika katika viwanja vya mahakama Kuu mjini Songea.Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea Sekela Mushi ndiye alikuwa mwenyeji katika maadhimisho hayo.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa