IRI YA WANAFUNZI KUJUA KUSOMA,KUANDIKA NA KUHESABU KWA SIKU 90
MTAZAME mwalimu wa darasa la kwanza Asumpta Banda katika shule ya msingi Tembomashujaa katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambaye ana uwezo wa kufundisha Kusoma,Kuandika na Kuhesabu(KKK),katika kipindi cha kati ya siku 60 hadi 90 wanafunzi wote wanajua KKK.Darasa lake la kwanza mwaka huu lina wanafunzi 146 ambao wote wanajua KKK kwa ufasaha.
BOFYA HAPa http://songeamc.go.tz/videos uone wakati anahojiwa na Jopo la wanahabari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini ambao waliletwa kupitia kitengo cha mawasiliano serikalini cha Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa