SOKO la kimataifa la mazao ghalani katika eneo la Lilambo OTC linalomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma limeanza kuwanufaisha wakazi wa Wilaya ya Songea ambapo hadi sasa mazao mawili ya soya ya ufuta yanauzwa kwa mnada kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani ambapo hadi sasa tani 1270 zimenunuliwa na wakulima wamelipwa ndani ya siku tatu.Soko hilo la kimataifa lilifunguliwa na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa