MKURUGENZI wa Taasisi ya Saint Teresa Orphans Foundation (STOF) Teresa Nyirenda amemnunulia baiskeli ya mikuu mitatu(wheel chair) mtoto mwenye ulemavu wa viungo Hamza Milanzi mwenye umri wa miaka kumi ambaye anasoma darasa la kwanza katika shule ya msingi Amani iliyopo Manispaa ya Songea.Nyirenda amesema Taasisi yake ambayo inafanyakazi katika nchi mbili za Tanzania na Marekani ilianza kazi tangu mwaka 2001 ambapo hadi sasa imewahudumia watoto yatima zaidi ya 300 ambao wameajiriwa na wengine wamejiajiri katika maeneo mbalimbali hapa nchini.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa