MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SONGEA ANAWATANGAZIA WANACHI WOTE KUWEPO KWA ENEO LA KIUWEKEZAJI LILILOPO MBELE YA KITUO CHA MABASI TANGA NA PEMBEZONI MWA BARABARA YA SONGEA NJOMBE.
ENEO HILI LINAJUMLA YA EKARI 41 NA SEHEMU YA ENEO HILI LIMESHALIPWA FIDIA.
HIVYO WANANCHI AU MWEKEZAJI YEYOTE MWENYE NIA YA KUWEKEZA KATIKA ENEO HILI ANAPASWA KUWASILISHA OMBI LAKE KUPITIA FOMU YA MAOMBI INAYOPATIKANA KWENYE OFISI ZA KITENGO CHA MANUNUZI AU KWENYE TOVUTI YA HALMASHAURI (www.songeamc.go.tz). FOMU HIYO INAPASWA KUJAZWA NA KURUDISHWA KABLA YA TAREHE 08/06/2023.
IMETOLEWA NA:
DR. FREDERICK SAGAMIKO
MKURUGENZI WA MANISPAA
SONGEA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
HALMASHAURI YA MANISPAA YA SONGEA
(Barua zote ziandikwe kwa Mkurugenzi wa Manispaa
FOMU MAALUMU YA MAOMBI YA ENEO LA UWEKEZAJI KWENYE ENEO LILILOPO MBELE YA KITUO CHA MABASI TANGA.
TAREHE YA UJAZAJI: ….......................................
TAARIFA ZA MUOMBAJI.
JINA: …………………………………………S. L. P. ………………….. NAMBA YA SIMU………………………
EMAIL………………………………………..
NA. |
AINA YA UWEKEZAJI
|
UKUBWA WA ENEO UNALOHITAJIKA (KWA MITA ZA MRABA) |
BEI UTAKAYOLIPA (KWA MITA ZA MRABA) |
JUMLA YA FEDHA UTAKAYOLIPIA |
1. |
|
|
|
|
VIGEZO:
Fomu hii inapaswa kurudishwa kabla ya tarehe 08/06/2023
Fomu hii inapaswa kurudishwa kwenye ofisi ya kitengo cha manunuzi ikiwa imefungwa kwenye bahasha.
Mwombaji atakaye pendekezwa kupatiwa eneo baada ya ufunguzi wa fomu atataarifiwa.
Mwombaji atakaye nunua eneo kubwa kwa bei nzuri atapewa kipaumbele.
Mwombaji anaruhusiwa kuomba kufanya uwekezaji wa zaidi ya eneo moja.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa