Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma anawatangazia wananchi wote kuwa anauza viwanja vilivyopimwa katika eneo la Lilambo na Namanditi kwa matumizi ya makazi. Bei ya viwanja hivyo ni shilingi 2000 kwa kila meta mojaya mraba. Fomu za maombi zinàpatikana katika ofisi ya Idara ya Ardhi na Mipango Miji ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea kuanzia saa 3.00 asubuhi. the
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa