TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoani Ruvuma imetoa taarifa ya utendaji kazi katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Oktoba hadi Desemba 2018.Taarifa imetolewa na Kaimu Mkuu wa TAKUKURU mkoani Ruvuma Owen Jasson kwenye ukumbi wa TAKUKURU uliopo Mahenge Manispaa ya Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa