CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) katika Mkoa wa Ruvuma kimezindua vitambulisho vipya kwa wanachama wake hai.Uzinduzi wa kimkoa umefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea kwa kugawa vitambulisho 460 kwa wanachama hai.Uzinduzi umefanywa na Mwenyekiti wa TALGWU Mkoa wa Ruvuma Willy Lwambano kwa kushirikiana na Katibu wa TALGWU Mkoa wa Ruvuma Ashraf Chussi.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa