• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TANGAZO

Tarehe ya kuwekwa: May 24th, 2022

TANGAZO LA KAZI

Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea kuomba nafasi ya kazi ifuatayo baada ya kupata kibali cha Ajira mpya kwa mwaka 2021/2022.

  • Mhudumu wa Jikoni/Mess Daraja la  II        -   nafasi mbili (2)

SIFA ZA MUOMBAJI 

  • Awe amehitimu kidato cha Nne. 
  • Awe na uzoefu usiopungua miaka  mitatu.

KAZI ZA KUFANYA 

  • Kusafisha vyombo vya kupikia.
  • Kusafisha vyombo vya kulia chakula.
  • Kusafisha Meza itumikayo kwa kulia  chakula.
  • Kuwatayarishia Wapishi/Waandamizi vifaa vya Mpishi na Mezani.
  • Kusafisha maeneo ya kulia chakula na kupikia.
  • Kuwasaidia Waandamizi na Wapishi.

 

MSHAHARA  

Cheo cha Mhudumu wa Jikoni/Mess Daraja la II kina ngazi ya Mshahara ya TGOS  A kwa mwezi.

 

MASHARTI YA JUMLA 

  • Mwombaji awe Raia wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45. 
  • Barua ya maombi iambatanishwe na wasifu binafsi wa mwombaji wa hivi karibuni (Curriculum Vitae).
  • Maombi yaambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu ya kidato cha Nne na cheti cha kuzaliwa.
  • Testimonials na Previsional Results hazitakubalika.
  • Mwombaji aambatanishe picha mbili (Passport size) katika barua yake ya maombi.
  • Waombaji waliosoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimefanyiwa uthibitisho na TCU na/au NACTE.
  • Waombaji ambao ni watumishi wa Umma wapitishe barua zao za maombi kwa waajiri wao.
  • Mwombaji anatakiwa kuwa na Kitambulisho cha Uraia (National Indentification Card) au namba (National Indentification Number) kwa ambao hawajapata vitambulisho katika Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA).
  • Maombi yawasilishwe kwa barua kwa lugha ya Kishwahili au Kiingereza.
  • Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 05 Juni, 2022 saa 9.30 Alasiri.

Barua zote za Maombi zitumwe kwa kutumia Anuani ifuatayo:-

OFISI YA MKURUGENZI,

HALMASHAURI YA MANISPAA YA SONGEA,

4 BARABARA YA SOKOINE,

S.L.P. 14,

57101 SONGEA  - RUVUMA

Dkt. Frederick D. Sagamiko

MKURUGENZI WA MANISPAA

SONGEA

Nakala:

               Katibu,

               Ofisi ya Rais,

                    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma,

                    S.L.P. 2320,

                    DODOMA

Tovuti ya Halmashauri:  www.songeamc.go.tz

  • Mbao za Matangazo

                                       

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa