KATIBU WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA (TALGWU) MKOA WA RUVUMA NDUGU ASHIRAFU CHUSI ANAWATANGAZIA WANACHAMA WOTE KUWA, KUTAKUWA NA UCHAGUZI UNAOTARAJIA KUFANYIKA KUANZIA TAREHE 19 APRILI 2021 HADI 18 JUNI 2021.
KWA NGAZI YA MKOA TAREHE ITATANGAZWA BAADA YA KUKAMILIKA KWA UCHAGUZI NGAZI YA MATAWI.
FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI WA NAFASI ZOTE ZINATOLEWA NA KATIBU WA MATAWI AU KATIBU WA MKOA WA RUVUMA KUANZIA TAREHE 08 MACHI HADI 15 MACHI 2021.
MWISHO WA KURUDISHA FOMU NI TAREHE 15 MACHI 2021, SAA 9:30 ALASIRI.
NAFASI ZINAZOGOMBEWA, SIFA ZA MGOMBEA NA VIAMBATANISHO VINAVYOHITAJIKA ZIMEELEZWA BAYANA KWENYE MBAO ZA MATANGAZO ZA OFISI ZA KATA, ZAHANATI, NA MBAO ZOTE ZA HALMASHAURI.
AU TEMBELEA TOVUTI www.talgwu.or.tz AU KWA UFAFANUZI ZAIDI WASILIANA NA KATIBU WA TALGWU MKOA WA RUVUYMA KWA SIMU NAMBA 0754 – 075-436 AU 0786 – 648-457.
TALGWU CHAMA IMARA, HUDUMA BORA KWA WANACHAMA
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa