HALMASHAURI YA MANISPAA YA SONGEA INAKULETEA BONANZA LA MICHEZO KATI YA WAHESHIMIWA MADIWANI MANISPAA YA SONGEA NA WATUMISHI KUTOKA OFISI KUU MANISPAA YA SONGEA LITAKALOFANYIKA KATIKA UWANJA WA ZIMANIMOTO MANISPAA TAREHE 22 JULAI 2021 KUANZIA SAA 8:00 MCHANA HADI SAA 12:00 JIONI.
MIONGONI MWA MICHEZO ITAKAYOFANYIKA UWANJANI HAPO NI PAMOJA NA MPIRA WA MIGUU, MPIRA WA PETE, REDE, NA KUKIMBIZA KUKU.
NYOTE MNAKARIBISHWA.
NA;
AMINA PILLY;
AFISA HABARI- SONGEA MANISPAA.
19 JULAI 2021.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa