MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA MANISPAA KUWA, KUTAKUWA NA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI UTAKAOFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 21 Mei, 2021 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MANISPAA KUANZIA SAA 4:00 (NNE) ASUBUHI.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KUHUDHURIA MKUTANO HUO KWA GHARAMA ZENU WENYEWE.
LIMETOLEWA NA;
MKURUGENZI MANISPAA YA SONGEA.
17 MEI 2021
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa