Halmashauri ya Manispaa ya Songea imepokea vifaa vya usafi vyenye thamani ya shilingi 580,000 kutoka kwa TARURA kwa lengo la kuwezesha mji kuwa na hali ya Usafi.
Miongoni mwa vifaa vilivyotolewa ni pamoja na toroli 2, gloves bunda 10, chepe 10,majembe 10, fagio 10, pamoja na Reki 5 ambavyo vilipokelewa na Katibu Tawala Wilaya ya Songea kwaniaba ya Mkuu wa Wilaya ya Songea.
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa