MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) leo Novemba 15,2018 inatarajia kuendesha mafunzo elekezi ya mawasiliano kwa wakuu wa Idara na vitengo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Watumishi wengine ambao watanufaika na mafunzo hayo ni waratibu elimu kata,wakuu wa shule za sekondari na msingi katika Manispaa hiyo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na TCRA Nyanda za Juu Kusini,imeandaa semina elekezi kuhusu maendeleo na changamoto ya sekta ya mawasiliano nchini Tanzania.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa