MRADI wa ujenzi wa Kituo cha Afya Kata ya Ruvuma umefikia asilimia 82 .Mganga Mkuu wa Manispaa ya Songea Dkt.Mameritha Basike amesema serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt John Magufuli imetoa shilingi milioni 400 kutekeleza mradi huo ambao utasogeza huduma za Afya katika kata za Ruvuma,Subira,Majengo na Mateka.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa