MRADI wa ujenzi wa machinjio ya kisasa katika Kata ya Tanga Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambao unatekelezwa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia kwa gharama ya shilingi bilioni 3.2 umefikia asilimia 99 .Mradi huu ukikamilika utafungua fursa nyingine kwa wakazi wa Manispaa ya Songea na Mkoa wa Ruvuma kwa ujumla.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa