TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
UWEKAJI WAZI DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA
AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA SONGEA MJINI ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA HALMASHAURI YA MANISPAA SONGEA KUWA, ITAWEKA WAZI DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA KWA SIKU TATU KUANZIA TAREHE 02 HADI 04 MEI, 2020, KATIKA VITUO VILIVYOTUMIKA WAKATI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.
UWEKAJI WAZI HUU UTAFANYIKA KWA KUZINGATIA TAHADHARI ZOTE ZA AFYA KUHUSU KUZUIA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA COVID- 19 UNAOSABABISHWA NA VIRUSI VYA CORONA. UWEKAJI WAZI UTAFANYIKA KAMA IFUATAVYO;
UTARATIBU WA KUHAKIKI
MPIGA KURA ANAWEZA KUHAKIKI TAARIFA ZAKE KWA NJIA ZIFUATAZO:-
MAMBO YA KUZINGATIA
MUHIMU: KUMBUKA KUZINGATIA KANUNI ZA AFYA KWA KUFUATA MAELEKZO UTAKAYOPEWA KITUONI ILI KUJIEPUSHA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA
TANGAZO LIMETOLEWA NA;
AFISA MWANDIKISHAJI
JIMBO LA SONGEA MJINI
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa