KIKUNDI cha vijana 15 kutoka katika Kata ya Matogoro Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kimeanzisha kiwanda kinachofahamika kwa jina la Matogoro Stick Industry kinachotengeneza stiki kwa kutumia mianzi.Kikundi hicho kilianzishwa rasmi mwaka 2018 lengo lilkiwa ni kutumia malighafi zilizopo katika eneo husika kuanzisha kiwanda.
Kuanzishwa kwa kiwanda hicho kumesababisha kupandishwa hadhi kwa zao la mianzi ambapo mianzi sasa imepanda thamani kutoka bure hadi muanzi mmoja kuuzwa kwa shilingi 500 hadi 1000.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa