Wakuu wa idara Manispaa ya Songea wamefanya ziara ya kushitukiza katika kituo cha afya Ruvuma hapo jana 15.04.2021 kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero zinazokikabili kituo hicho.
Ziara hiyo ikiongozwa na Mkurugenzi Manispaa ya Songea Tina Sekambo pamoja na wataalamu wake ili kwenda kubaini changamoto mbalimbali kituoni hapo ambazo hupelekea kukwamisha baadhi ya utendaji wa kazi .
Amewataka watumishi hao kufanya kazi kwa weredi na kuachana na tabia ya kufanya kazi kwa mazowea.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY;
AFISA HABARI MANISPAA YA SONGEA.
16 APRILI 2021
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa