Picha mbalimbali za washiriki wa mafunzo ya utoaji wa dawa za kinga dhidi ya magonjwa ya minyoo ya tumbo na kichocho yaliyofanyika leo tarehe 22 januari 2025 kwa lengo la kuwawezesha washiriki hao namna ya usimamizi wa ugawaji wa dawa hizo.
Akizungumza mratibu wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele Dkt. Bload Komba amewatoa wasiwasi wazazi kuhusu matumizi ya dawa hizo ambapo amesema dawa hizo ni salama nani kinga dhidi ya magongwa ya minyoo ya tumbo na kichocho.
Zoezi hilo litafanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 23 hadi 24 januari 2025 ambapo watoto wenye umri wa miaka 5 hadi 14 watamezeshwa dawa hizo.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa