Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameongoza kikao maalum cha tathimini ya kuona idadi ya wanafunzi waliofaulu darasa la saba mwaka 2019 na kuingia kidato cha kwanza mwaka 2020 ambapo tathimini iliyowashirikisha wakuu wa wilaya zote,wakurugenzi na wadau wa elimu,imebaini kuwa vyumba vya madarasa vilivyopo vinatosheleza idadi yote ya wanafunzi waliofaulu kuanza kidato cha kwanza Januari 6,2020.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa