Washiriki 406 wapata mafunzo ya uandikishaji ya daftari la kudumu la wapiga kura ambapo zoezi hilo litafanyika kuanzia tarehe 12 januari hadi 18 januari 2025 katika kata 21 kwa vituo 160 katika jimbo la Songea Mjini ambapo mafunzo hayo yanafanyika katika ukumbi wa shule ya Wasichana Songea..
Akizungumza Afisa mwandikishaji Jimbo la Songea Mjini Alto Liwolelu ambapo amewataka washiriki hao kuwa makini wakati wa mafunzo hayo na wahakikishe waftuatilia kwa vitendo ili kuwe na ufanisi wa zoezi hilo.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa