WATAALAM wa TEHAMA zaidi ya 50 kutoka Tanzania Bara wanapata mafunzo ya uendeshaji wa tovuti za hosptali za Mikoa na Wilaya ambayo yanafanyika mjini Morogoro.
Mafunzo hayo ambayo yanafanyika kwa siku tano yameratibiwa na kusimamiwa na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI kwa kushirikina na Serikali Mtandao(EGA).
Katika mafunzo hayo wataalam hao wamejifunza mafunzo ya awali ya uandishi wa habari katika tovuti na kutengeneza tovuti za hospitali kwa kila Mkoa ili kutangaza shughuli za hospitali kwa wananchi
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa