MKURUGENZI Mtendaji Halmashauri wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Simon Bunenganija amewasainisha mikataba ya Lishe watendaji wa Kata katika Halmashauri ya Wilaya hiyo katika hafla ambayo imefanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Songea.Katibu Tawala wa Wilaya ya Songea Pendo Ndumbaro alimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Songea katika tukio hilo lenye lengo la kupunguza udumavu na utapiamlo katika Wilaya ya Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa