WAZEE wa Baraza la Mila na Utamaduni la Makumbusho ya Vita vya Majimaji ,wanadai kurejeshwa nchini kichwa cha Jemedari wa Wangoni Songea Mbao kutoka nchini Ujerumani. Inadaiwa Chifu Songea alizikwa kiwiliwili bila kichwa katika kaburi hili ambalo lipo katika Makumbusho ya Taifa ya majimaji Mahenge Songea.Katika Makumbusho haya pia kuna kaburi la pamoja ambalo walizikwa mashujaa 68 wa vita vya maji maji baada ya kunyongwa Februari 27,1906.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa