WILAYA ya Songea mkoani Ruvuma inaongoza kwa ugawaji wa vitambulisho vya wajasiriamali wadogo vilivyotolewa na Rais Dkt John Magufuli,baada ya kufanikiwa kugawa vitambulisho zaidi ya 4500 kati ya 5000 ilivyopewa.Akitoa taarifa kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea Mkuu wa Wilaya hiyo Pololet Mgema amesema ugawaji wa vitambulisho hivyo umeingiza zaidi ya shilingi milioni 90.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa