Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Bashir Muhoja amewataka wananchi kujifunza namna ya kulima kilimo cha uyoga ambacho kinatumia mtaji mdogo wa shilingi 50,000 ambacho kitawezesha mkulima kupata zaidi ya milion moja kwa muda wa miezi sita.
Ameyasema hayo akiwa katika kutembelea banda la maonesho ya nanenane ambayo yamefanyika kikanda Mkoani Mbeya katika uwanja wa John Mwakangale.
Picha mbalimbali za martukio.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa