TAMASHA la kutangaza utalii wa fukwe katika Wilaya ya Nyasa linatarajia kufanyika kuanzia Novemba 28 hadi 30,2019 katika Mji wa Mbambabay.Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa raia kwa wadau wa utalii na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kwa ujumla kutumia wiki hilo kuhaklikisha wanatangaza fursa za utalii zilizopo ili ziweze kufahamika na kuvutia wawekezaji.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa