Tarehe ya kuwekwa: July 11th, 2018
WATOTO mapacha walioungana Maryness na Anisia Beatusi, wamepelekwa nchini Saudia Arabia kwa matibabu baada ya kupata ufadhili kutokana na uhusiano mzuri baina ya Serikali ya Tanzania na nchi hiyo.
...
Tarehe ya kuwekwa: July 10th, 2018
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa taarifa ya mfumuko wa bei wa Taifa ya Juni 2018 ambapo imeelezwa kuwa mfuko wa bei umepungua hadi kufikia asilimia 3.4 ikilinganishwa na asilimia 3.6 ilivyokuwa ...
Tarehe ya kuwekwa: July 10th, 2018
KILA mwaka kuanzia Agosti Mosi hadi nane huadhimishwa wiki ya maonesho na sherehe za Nanenane (Sikukuu ya wakulima) ambazo hufanyika ngazi ya Mkoa na Kanda.Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoa...