Tarehe ya kuwekwa: November 7th, 2017
MKUU Mpya wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametangaza vita ya kupambana na mimba za utotoni katika mkoa wa Ruvuma.Akizungumza na wananchi wa Kata ya Majengo katika Manispaa ya Songea Mndeme amesema ...
Tarehe ya kuwekwa: November 4th, 2017
WAHASIBU katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wanapata mafunzo ya siku tatu ya Mfumo wa Maandalizi na Uwasilishaji wa Taarifa za Fedha(FFARS).Mafunzo hayo yanafanyika kwenye Ukumbi w...
Tarehe ya kuwekwa: November 2nd, 2017
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Seleman Said Jafo ameziagiza Halmashauri zote nchini kutangaza katika vyombo vya habari miradi yote inayotekelezwa na TAMIS...